• HABARI MPYA

  Friday, February 04, 2022

  SIMBA YAMSIMAMISHA MORRISON KWA UTOVU WA NIDHAMU


  KLABU ya Simba imemsimamisha winga wake Mghana, Bernard Morrison kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu ikiwemo kutoka kambini bila ruhusa.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YAMSIMAMISHA MORRISON KWA UTOVU WA NIDHAMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top