• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 06, 2020

  ARSENAL YANG'ARA ULAYA, YAICHAPA MOLDE FK 4-1 EUROPA LEAGUE


  Mshambuliaji chipukizi, Joe Willock akishangilia na Bukayo Saka baada ya kuifungia Arsenal bao la nne dakika ya 88 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Molde FC usiku wa jana Uwanja wa Emirates Jijini London kwenye mchezo wa Kundi B UEFA Europa League. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Kristoffer Haugen dakika ya 45 na ushei, Sheriff Sinyan dakika ya 62 wote wakijifunga na Nicolas Pepe dakika ya 69 kufuatia Molde FK kutangulia kwa bao la Martin Ellingsen dakika ya 22
   
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YANG'ARA ULAYA, YAICHAPA MOLDE FK 4-1 EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top