• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 01, 2020

  MAN UNITED YAICHAPA BRIGHTON 3-0, YATINGA ROBO FAINALI CARABAO


  Wachezaji wa Manchester United wakimpongeza mwenzao, Paul Pogba (wa pili kulia) baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 80 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion usiku wa jana Uwanja wa Amex, kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Mabao mengine ya Manchester United yalifungwa na Scott McTominay dakika ya 44 na Juan Mata dakika ya na 73 na kwa ushindi huo Mashetani Wekundu wanatinga Robo Fainali
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA BRIGHTON 3-0, YATINGA ROBO FAINALI CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top