• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 01, 2019

  MANCHESTER UNITED YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA ASTON VILLA

  Tyrone Mings akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Aston Villa bao la kusawazisha dakika ya 66 ikitoa sare ya 2-2 na wenyeji, Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Bao la kwanza la Aston Villa limefungwa na Jack Grealish dakika ya 11, wakati mabao ya Man United yamefungwa na Tom Heaton aliyejifunga dakika ya 42 na Victor Lindelof dakika ya 64 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA ASTON VILLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top