• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 01, 2019

  AUBAMEYANG APIGA MBILI ARSENAL YATOA SARE 2-2 NA NORWICH

  Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika za 29 kwa penalti na 57 ikitoa sare ya 2-2 na Norwich City leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Carrow Road. Mabao ya Norwich City Teemu Pukki dakika ya 21 na Todd Cantwell dakika ya 45 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG APIGA MBILI ARSENAL YATOA SARE 2-2 NA NORWICH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top