• HABARI MPYA

  Monday, May 20, 2019

  RONALDO NA GEORGINA WAKE WAKIFURAHIA TAJI LA SERIE A

  Cristiano Ronaldo akiwa amepozi na mpenzi wake, Georgina Rodriguez na Kombe la ubingwa wa Serie A baada ya Juventus kukabidhiwa jana kufuatia sare ya 1-1 na Atalanta Uwanja wa Allianz mjini Torino 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO NA GEORGINA WAKE WAKIFURAHIA TAJI LA SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top