• HABARI MPYA

  Sunday, May 12, 2019

  CHELSEA YALAZIMISHA SARE 0-0 NA LEICESTER CITY KING POWER

  Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy akiwa hewani kupiga mpira kichwa dhidi ya wachezaji wa Chelsea katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa King Power timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Kwa sare hiyo, Chelsea inamaliza nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu na pointi zake 72, moja zaidi ya Tottenham Hotspur waliomaliza nafasi ya nne 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YALAZIMISHA SARE 0-0 NA LEICESTER CITY KING POWER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top