• HABARI MPYA

  Sunday, May 19, 2019

  WILDER ASHINDA KWA KNOCKOUT RAUDI YA KWANZA /TU MAREKAI

  Bondia Deontay Wilder akiondoka akimuacha mpinzani wake Dominic Breazeale, wote wa Marekani ameanguka baada ya kumpiga ngumi kali katika pambano la uzito wa juu Afajiri ya leo ukumbi wa Barclays Center mjini Brooklyn. Wilder alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya kwanza 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WILDER ASHINDA KWA KNOCKOUT RAUDI YA KWANZA /TU MAREKAI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top