• HABARI MPYA

  Friday, May 31, 2019

  BRAZIL HATARINI KUMKOSA NEYMAR DHIDI YA BOLIVIA COPA AMERICA

  Neymar akifanya mazoezi peke yake Gym baada ya kuumia Jumanne kwenye kambi ya Brazil huko Granja Comary nje kidogo ya Jiji la Rio de Janeiro kujiandaa na michuano ya Copa America inayotarajiwa kuanza Juni 14 Brazil ikimenyana na Bolivia mjini Sao Paulo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRAZIL HATARINI KUMKOSA NEYMAR DHIDI YA BOLIVIA COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top