• HABARI MPYA

  Saturday, May 18, 2019

  MAN CITY YAIPIGA WATFORD 6-0 NA KUBEBA TAJI LA TATU ENGLAND

  Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany akiwa ameinua Kombe la FA baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya Watford leo mabao ya Raheem Sterling matatu dakika za 38, 81 na 87, David Silva dakika ya 26, Kevin De Bruyne dakika ya 61 na Gabriel Jesus dakika ya 68 kwenye mchezo wa fainali Uwanja wa Wembley mjini London hilo likiwa taji la tatu msimu huu baada ya ubingwa wa Ligi Kuu England na Kombe la Ligi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAIPIGA WATFORD 6-0 NA KUBEBA TAJI LA TATU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top