• HABARI MPYA

  Sunday, May 19, 2019

  RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN ALIVYOSHIRIKI MAZISHI YA TAMIM

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa .Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Mareheme Ali Ferej, aliyekuwa Mwenyekiti wa ZFA yaliofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar leo 19-5-2019,(Picha na Ikulu)   
  Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga alipofi kutowa mkono wa pole na kuifariji familia ya Marehemu Ramadhan Abdalla Shaban , kijiji kwa Uzini Wilaya ya Kati Unguja leo  
  Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi na Wanamichezo katika maziko ya Marehemu Ali Ferej Tamim , aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira Zanzibar(ZFA) yaliofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar 
  Dk. Ali Mohamed Shein, akiwafariji na kutoa mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Ramadhan Abdalla Shaban, alipofika nyumbani kwa Kijiji cha Uzini Wilaya ya Kati Unguja leo 19-5-2019  
  Dk. Ali Mohamed Shein, akitoa mkono wa Pole kwa Watoto wa Mareheme Ali Ferej Tamim, baada ya kumalizika maziko hayo yaliofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN ALIVYOSHIRIKI MAZISHI YA TAMIM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top