• HABARI MPYA

  Tuesday, May 28, 2019

  VILLA WAIPIGA DERBY 2-1 NA KUREJEA LIGI KUU ENGLAND

  Wachezaji wa Aston Villa wakishangilia baada ya kuifunga 2-1 Derby County usiku wa jana Uwanja wa Wembley katika mechi ya fainali ya mchujo wa kupanda wa Ligi Kuu England. Mabao ya Villa inayorejea Ligi Kuu tangu ishuke mwaka 2016 yamefungwa na Anwar El Ghazi na John McGinn huku la Derby County likifungwa na Jack Marriott 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VILLA WAIPIGA DERBY 2-1 NA KUREJEA LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top