Kiungo aliyekuwa majeruhi wa Chelsea, Mfaransa N'Golo Kante akiwatoka wachezaji wenzake Conor Gallagher na Ethan Ampadu katika mazoezi ya Chelsea jana viwanja vya Cobham kujiandaa na fainali ya UEFA Europa League dhidi ya Arsenal wiki ijayo mjini Baku nchini Azerbaijan PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ohanaeze Ndigbo Lagos demands apology from ex-president, Solomon Ogbonna
-
Ohanaeze Ndigbo, Lagos State has demanded an apology from its former
President, Chief Solomon Ogbonna, as condition for his alignment with the
organisati...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment