• HABARI MPYA

  Sunday, May 12, 2019

  POGBA HOI MAN UNITED IKIPIGWA 2-0 NA WALIOSHUKA DARAJA

  Kiungo Mfaransa wa Manchester United, Paul Pogba akirejea katikati kinyonge baada ya Cardiff City kupata bao la pili katika ushindi wa 2-0, mabao yote akifunga Nathaniel Mendez-Laing dakika za 23 kwa penalti na 54 kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford. Pamoja na ushindi huo, Cardiff City imeungana na Fulham na Huddersfield Town kushuka daraja, huku Man United ikimaliza nafasi ya sita na pointi zake 66 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POGBA HOI MAN UNITED IKIPIGWA 2-0 NA WALIOSHUKA DARAJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top