• HABARI MPYA

  Thursday, May 30, 2019

  CHELSEA YAIFUMUA ARSENAL 4-1 NA KUTWAA EUROPA LEAGUE

  Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza mwenzao, Olivier Giroud baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 49 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya timu yake ya zamani, Arsenal usiku wa Jumatano kwenye fainali ya UEFA Europa League Uwanja wa Bakı Olimpiya mjini Baku, Azerbaijan. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya 60 na Edin Hazard mawili, dakika yaa 65 kwa penalti na 72, wakati la Arsenal limefungwa na Alex Iwobi dakika ya 69 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIFUMUA ARSENAL 4-1 NA KUTWAA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top