• HABARI MPYA

  Sunday, May 26, 2019

  VALENCIA WATWAA KOMBE LA MFALME BAADA YA KUIPIGA BARCELONA 2-1

  Nahodha wa Valencia, Dani Parejo akiinua Kombe la Mfalme baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Barcelona usiku wa jana katika mchezo wa fainali Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla. Mabao ya Valencia yalifungwa na Kevin Gameiro dakika ya 21 na Rodrigo dakika ya 33 kabla ya Lionel Messi kuifungia Barcelona bao lake pekee dakika ya 73 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VALENCIA WATWAA KOMBE LA MFALME BAADA YA KUIPIGA BARCELONA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top