• HABARI MPYA

  Sunday, May 12, 2019

  MZEE MENGI ALIVYOPIGANIA AMANI YANGA SC ENZI ZA UHAI WAKE

  ALIYEKUWA Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, marehemu Reginald Abraham Mengi (kulia) akiwa na waliokuwa viongozi wa makundi mawili yanayopingana Yanga SC, Yussuf Mzimba wa Yanga Asili (kushoto, sasa marehemu) na Tarimba Abbas wa Yanga Kampuni (katikati) kwenye mkutano wa upatanishi ukumbi wa Star Light Cinema mwaka 1998.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MZEE MENGI ALIVYOPIGANIA AMANI YANGA SC ENZI ZA UHAI WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top