• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 07, 2019

  KOMPANY AISOGEZA MAN CITY JIRANI KABISA NA UBINGWA ENGLAND

  Washambuliaji Raheem Sterling na Sergio Aguero wakimpongeza beki na Nahodha wao, Vincent Kompany baada ya kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 70 ikiilaza 1-0 Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Etihad. Kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 95 baada ya kucheza mechi 37 na kurejea tena kileleni mwa Ligi Kuu ikiizidi pointi moja Liverpool 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOMPANY AISOGEZA MAN CITY JIRANI KABISA NA UBINGWA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top