• HABARI MPYA

  Wednesday, May 08, 2019

  LIVERPOOL YAIPIGA 4-0 BARCELONA NA KUTINGA FAINALI

  Divock Origi (kulia) akishangilia na Xherdan Shaqiri (kushoto) baada ya kuifungia Liverpool bao la nne dakika ya 79 ikiilaza Barcelona 4-0 usiku huu Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa marudiano Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Origi pia alifunga bao la kwanza dakika ya saba, wakati mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Georginio Wijnaldum dakika ya 54 na 56 na kwa matokeo hayo Wekundu hao wanakwenda fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-3 baada ya kufungwa 3-0 kwenye mchezo wa kwanza Hispania 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAIPIGA 4-0 BARCELONA NA KUTINGA FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top