Wachezaji wa Liverpool, beki Virgil van Dijk na mshambuliaji Sadio Mane (kulia) walipowasili Liverpool leo kutoka Barcelona ambako jana walifungwa 3-0 na wenyeji Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Timu hizo zitarudiana Jumanne ijayo Uwanja wa Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA
18th Headies nominees party holds at Vaniti Lagos
-
Vaniti, Lagos will host nominees of the 18th Headies Awards on Saturday,
October 3, 2026, as part of activities leading up to the prestigious music
award...
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment