Mshambuliaji Mfaransa, Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 18 na 25 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Valencia kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates mjini London. Bao la tatu la Arsenal lilifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 90, wakati la Valencia lilifungwa na Mouctar Diakhaby dakika ya 11 na timu hizo zitarudiana Mei 9 Uwanja wa Mestalla mjini Valencia na mshindi wa jumla atakutana na mshindi kati ya Chelsea na Eintracht Frankfurt kwenye fainali Mei 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Heat pull off sensational record Big Bash chase
-
Centuries from Matt Renshaw and Jack Wildermuth help Brisbane Heat chase a
record 258 to beat Perth Scorchers in the Big Bash League.
39 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment