• HABARI MPYA

  Sunday, May 26, 2019

  MESSI AKIWA HAAMINI MACHO YAKE USIKU WA JANA BENITO VILLAMARIN

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akisikitika baada ya kufungwa bao la pili na Valencia katika fainali ya Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla. Valencia walishinda 2-1, mabao yao yakifungwa na Kevin Gameiro dakika ya 21 na Rodrigo dakika ya 33 kabla ya Messi kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 73 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AKIWA HAAMINI MACHO YAKE USIKU WA JANA BENITO VILLAMARIN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top