• HABARI MPYA

  Sunday, May 19, 2019

  MAREHEMU ALI FEREJ TAMIN ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA BLATTER

  MAREHEMU Ali Ferej Tamin (Kushoto) na aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Ali Juma Shamuhuna, walipotembelea Makao Makuu ya Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA) jijini Zurich, Uswisi miaka kadhaa iliyopita wakiwa na Rais wa zamani wa shirikisho hilo Josep Blatter. Walikuwa wamepeleka ombi la kutaka Zanzibar ipewe uanachama wa FIFA ambalo lilikataliwa kwa madai kuwa visiwa hivyo havina mamlaka kamili.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAREHEMU ALI FEREJ TAMIN ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA BLATTER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top