• HABARI MPYA

  Sunday, May 12, 2019

  NEYMAR, DI MARIA WAFUNGA PSG YASHINDA 2-1 LIGI YA UFARANSA

  Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao la kwanza dakika ya 20 ikiilaza Angers 2-1 katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Raymond-Kopa mjini Angers. Bao la pili la PSG lilifungwa na Angel Di Maria dakika ya 58 wakati la Angers lilifungwa na Flavien Tait dakika ya 88 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR, DI MARIA WAFUNGA PSG YASHINDA 2-1 LIGI YA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top