• HABARI MPYA

  Sunday, May 26, 2019

  BAYERN MUNICH WABEBA NA KOMBE LA UJERUMANI, WAIPIGA 3-0 LEIPZIG

  Nahodha Manuel Neuer akiwa ameinua Kombe la Ujerumani na wachezaji wenzake wa Bayern Munich baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya RB Leipzig, mabao ya Robert Lewandowski dakika ya 29 na 85 na Kingsley Coman dakika ya 78 katika mchezo wa fainali usiku wa jana Uwanja wa Olympia mjini Berlin 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH WABEBA NA KOMBE LA UJERUMANI, WAIPIGA 3-0 LEIPZIG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top