• HABARI MPYA

  Friday, May 31, 2019

  JOSHUA NA RUIZ SHUGHULI NI JUMAMOSI MADISON SQUARE

  Bingwa wa dunia wa uzito wa juu duniani, Anthony Joshua (kushoto) akitazamana kimikwara na mpinzani wake, Andy Ruiz Jr (kulia) jana wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea pambano lao la Jumamosi ukumbi Madison Square Garden mjini New York, Marekani. Joshua mwenye urefu wa futi sita kwa sasa anashikilia mataji ya IBF, WBA na WBO akiwa na rekodi ya kushinda mapambano yake yote 22, 21 kwa knockout, wakati Ruiz mwenye urefu wa futi nne amepoteza pambano moja na kushinda 32, huku 21 akishinda kwa knockout pia. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JOSHUA NA RUIZ SHUGHULI NI JUMAMOSI MADISON SQUARE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top