• HABARI MPYA

  Thursday, May 16, 2019

  AJAX WATWAA UBINGWA WA KWANZA UHOLANZI TANGU MWAKA 2014

  Wachezaji wa Ajax wakishangilia ushindi wao wa ubingwa wa Ligi ya Uholanzi baada ya kuichapa mabao 4-1 De Graafschap usiku wa jana Uwanja wa De Vijverberg mjini Doetinchem, hilo likiwa taji lao la kwanza la Eredivisie tangu 2014 hayo yakiwa matunda ya kizazi kipya cha dhahabu cha timu hiyo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AJAX WATWAA UBINGWA WA KWANZA UHOLANZI TANGU MWAKA 2014 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top