• HABARI MPYA

  Monday, May 20, 2019

  MESSI AFIKISHA MABAO 50 TENA BARCELONA IKIBEBA TAJI

  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 31 na 32 katika sare ta 2-2 na Eibar kwenye mchezo wa mwisho wa La Liga jana Uwanja wa Manispaa ya Ipurua mjini Eibar, hivyo kufikisha mabao 50 msimu huu kwa mara sita, klabu yake ikiibuka bingwa kwa mara nyingine tena 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AFIKISHA MABAO 50 TENA BARCELONA IKIBEBA TAJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top