• HABARI MPYA

  Thursday, May 09, 2019

  SPURS YAITOA AJAX 'KIAJABU', KUMENYANA NA LIVERPOOL JUNI 1 MADRID

  Lucas Moura akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao yote matatu dakika za 55, 59 na 90 na ushei ikiwachapa wenyeji, Ajax 3-2 usiku huu Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao ya Ajax yalifungwa na Nahodha wake, Matthijs de Ligt dakika ya tano na Hakim Ziyech dakika ya 35 na Tottenham inasonga mbele kwa faida ya mabao ya ugenini baada ya sare ya jumla ya 3-3 kufuatia kufungwa 1-0 wiki iliyopira London.
  Sasa Spurs itamenyana na Liverpool katika fainali ya timu za England tupu Juni 1, mwaka huu Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, Hispania Liverpool 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAITOA AJAX 'KIAJABU', KUMENYANA NA LIVERPOOL JUNI 1 MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top