Mshambuliaji Glenn Murray akimfunga kwa mkwaju wa penalti kipa Mjerumani, Bernd Leno dakika ya 61 kuipatia Brighton & Hove Albion bao la kusawazisha katika sare ya 1-1 kufuatia Pierre-Emerick Aubameyang kuanza kuifungia Arsenal dakika ya tisa kwa penalti pia leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London. Kwa matokeo hayo, Arsenal inafikisha pointi 67 baada ya kucheza mechi 37, ikibaki nafasi ya tano nyuma ya Tottenham Hotspur yenye pointi 70 na Chelsea pointi 71 baada ya wote kucheza mechi 37 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
EPL: Bruno Fernandes rejects Man Utd’s contract offer
-
Manchester United captain Bruno Fernandes has rejected the club’s initial
proposal for a new contract, although negotiations remain ongoing and the
midfi...
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment