• HABARI MPYA

  Friday, May 10, 2019

  AUBAMEYANG APIGA HAT TRICK ARSENAL YAICHAPA VALENCIA 4-2

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang akifurahia baada ya kufunga hat trick kwa mabao yake ya dakika za 11, 69 na 88 ikiwalaza wenyeji, Valencia 4-2 Uwanja wa katika mchezo wa marudiano wa UEFA  Europa League. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 50 wakati ya Valencia yamefungwa na Kevin Gamiero yote dakika ya 11 na 58 na kwa matokeo hayo, The Gunners inakwenda fainali kwa ushindi wa jumla wa 7-3 baada ya kushinda 3-1 London na sasa itamenyana na Chelsea 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG APIGA HAT TRICK ARSENAL YAICHAPA VALENCIA 4-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top