Mshambuliaji wa kimataifa wa Algeria, Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 51 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage. Bao la kwanza la Man City lilifungwa na Leroy Sane dakika ya 40, wakati bao la kufutia machozi la Watford lilifungwa na Abdoulaye Doucoure dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Brighton dominate ten-man Villa
-
Brighton start their season with an emphatic win at home against Europa
League winners Aston Villa, with four first-half goals.
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment