Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa Uwanja wa Taifa wa Addis Ababa nchini Ethiopia kabla ya mchezo na wenyeji Januari mwaka 1995. Kutoka kushoto Hussein Marsha, Mustapha Hoza, Said Mwamba (marehemu), Mtwa Kihwelo, Joseph Katuba (kwa nyuma, marehemu), Nico Bambaga (marehemu), Clement Kahbuka (kwa nyuma), Madaraka Suleiman, Juma Amir Maftah, Sekilojo Chambua, George Masatu, Edibily Lunyamila, Alphonce Modest, Deo Mkuki na Nteze John
NFL Rumors: Justin Fields May Stay QB1 Over Russell Wilson if Steelers
Defeat Broncos
-
Pittsburgh Steelers could stick with Justin Fields as the starting
quarterback regardless of Russell Wilson's status moving forward based on
how Sunday's g...
52 minutes ago
0 comments:
Post a Comment