Mshambuliaji wa Tanzania, Mbaraka Yusuph akimiliki mpira mbele ya beki wa Libya, Aljamal Tariq wa Kundi A Kombe la CECAFA Chalenge jana Uwanja wa Kenyatta mjini Machakos, Kenya timu hizo zikitioka sare ya 0-0
Mshambuliaji wa Tanzania, Elias Maguli akipambana na beki wa Libya, Maetoyq Saed jana
Nahodha wa Kilimanjaro Stars jana, Erasto Nyoni akiondoka na mpira kujaribu kuwapita wachezaji wa Libya
Wachezaji wa Tanzania na Libya kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Kenyatta
Jamal Murray, Nuggets Agree to 4-Year, $208M Contract Ahead of 2024-25 NBA
Season
-
Jamal Murray is going to be with the Denver Nuggets for a long time to come
after the two sides agreed to a new deal on Saturday. Per ESPN's Adrian…
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment