David Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya 83 ikiilaza 2-1 West Ham United Jumapili Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. West Ham walitangulia kwa bao la Angelo Ogbonna dakika ya 44, kabla ya Nicolas Otamendi kuisawazishia Man City dakika ya 57 ikishinda mechi ya 13 mfululizo msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Property owner warns others to fight back after squatter takeover
-
An Airbnb host is warning property owners to fight back after squatters
took over a home on her ranch and demanded $30,000 to leave.
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment