Nahodha wa Liverpool katika mchezo wa jana, Philippe Coutinho akishangilia baada ya kufunga matatu dakika za nne kwa penalti, 15 na 50 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Spartak Moscow usiku wa jana Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine yalifungwa na Roberto Firmino dakika ya 18, Sadio Mane dakika ya 47 na 76 na Mohamed Salah dakika ya 86 na kwa matokeo hayo Liverpool inamaliza na pointi 12 kileleni mwa Kundi E na kufuzu hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa ikiungana na Sevilla yenye pointi tisa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Gains, lessons from Oyo students’ rescue
-
Beyond the pain, political controversy and anxiety that surrounded the
kidnapping and eventual rescue of the students and teachers in Oyo State,
there ar...
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment