• HABARI MPYA

  Friday, September 15, 2017

  ROONEY AWAFOKEA WENZAKE EVERTON KUPIGWA 3-0 ITALIA

  Wayne Rooney akiwafokea wachezaji wenzake, baada ya timu yao, Everton kufungwa bao la tatu kabla ya mapumziko katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi E Ligi ya Ulaya jana Uwanja wa MAPEI mjini Citta del Tricolore, Reggio nell'Emilia wakilala 3-0 ugenini Italia. Mabao ya Atalanta yamefungwa na Andrea Masiello dakika ya 27, Alejandro Gomez dakika ya 41 na Bryan Castante dakika ya 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROONEY AWAFOKEA WENZAKE EVERTON KUPIGWA 3-0 ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top