• HABARI MPYA

  Saturday, September 16, 2017

  DEFOE AIGONGEA LA USHINDI BOURNEMOUTH YAILIPUA 2-1 BRIGHTON

  Jermain Defoe akiteleza kushangilia baada ya kuifungia bao la pili Bournemouth dakika ya 73 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Brighton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Vitality. Solly March alianza kuwafungia Brighton dakika ya 55 kabla ya Andrew Surman kuwasawazishia wenyeji dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DEFOE AIGONGEA LA USHINDI BOURNEMOUTH YAILIPUA 2-1 BRIGHTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top