Mshambuliaji kinda wa miaka 17 wa West Brom, Jonathan Leko akipambana na beki wa Liverpool, Brad Smith kuwania mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa The Hawthorns. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, bao la wenyeji likifungwa na Jose Salomon Rondon dakika ya 13, kabla ya Jordon Ibe kuisawazishia Liverpool dakika 10 baadaye PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'I'm back' - record-breaking Ronaldo answers critics
-
Portugal forward Cristiano Ronaldo provides the perfect response to those
that doubted him as he becomes the first player to score at six World Cups.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment