• HABARI MPYA

  Wednesday, May 25, 2016

  KAPTENI CHINA AKIPOKEA NDOO YA LIGI KUU KUTOKA KWA MZEE WARIOBA 1987

  Nahodha wa Yanga, Athumani Abdallah Mchabwa ‘Athumani China’ (kushoto) akipokea kikombe cha ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara kutoka Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais, Jaji Joseph Warioba mwaka 1987  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAPTENI CHINA AKIPOKEA NDOO YA LIGI KUU KUTOKA KWA MZEE WARIOBA 1987 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top