• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 28, 2016

  RASHFORD AANZA NA MOTO THREE LIONS, ROONEY APIGA LA PILI ENGLAND YAUA 2-1

  Mshambuliaji kinda wa Manchester United, Marcus Rashford akikimbia kushangilia baada ya kuifungia England bao dakika ya tatu akiichezea mara ya kwanza timu ya taifa ya wakubwa katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Australia kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Light, Sunderland. Bao lingine la England limefungwa na Nahodha Wayne Rooney dakika ya 55, wakati la wageni limefungwa na nyota wa Tottenham, Eric Dier aliyemfunga kipa wake, Fraser Forster dakika ya 75 katika harakati za kuokoa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RASHFORD AANZA NA MOTO THREE LIONS, ROONEY APIGA LA PILI ENGLAND YAUA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top