• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 24, 2016

  UZINDUZI WA DUKA LA 'PAMBA' ZA AZAM FC LEO DAR

  Mwonekano wa ndani wa duka la vifaa vya michezo la Azam kwa ajili ya mashabiki wa timu hiyo baada ya kuzinduliwa rasmi leo Mtaa wa  Swahili na Mkunguni, Kariakoo, Dar es Salaam
  Duka la Azam FC linapendesa mno kwa ndani kutokana na vifaa bora vilivyomo 

  Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka hilo

  Vifaa aina zote vya michezo vimo ndani ya duka la Azam FC, ambalo sasa linaongozwa kwa ubora nchini

  Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas hakubaki nyuma katika uzinduzi huo


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UZINDUZI WA DUKA LA 'PAMBA' ZA AZAM FC LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top