• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 29, 2016

  HUSSEIN AMAAN MARSHA ENZI ZAKE ALIKUWA ‘SLOW BUT SURE’

  Kiungo wa Simba SC, Hussein Amaan Marsha akimtoka beki wa Milambo ya Tabora, Dioniz Paul katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza (Ligi Kuu ya Vodacom) Tanzania Bara mwaka 1994 Uwanja wa Taifa, (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Milambo ilishinda 1-0, bao pekee la Said John (sasa marehemu) 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HUSSEIN AMAAN MARSHA ENZI ZAKE ALIKUWA ‘SLOW BUT SURE’ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top