• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 25, 2016

  MAHADHI ATUA YANGA, ATAMBULISHWA PAMOJA NA KESSY TAIFA

  Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga, Jerry Muro akiwatambulisha wachezaji wapya wa timu hiyo, kiungo Juma Mahadhi (kulia) kutoka Coastal Union ya Tanga na beki Hassan Kessy (kushoto) kutoka Simba SC jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) kati ya timu hiyo na Azam FC  
   Kessy (mwenye kofia) aliyesaini kutoka kwa mahasimu, Simba katikati ya mashabiki wa Yanga jukwaani akifuatilia mchezo wa fainali ya Kombe la ASFC 

  Kessy na jezi yake  ya Yanga jukwaani leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAHADHI ATUA YANGA, ATAMBULISHWA PAMOJA NA KESSY TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top