• HABARI MPYA

  Tuesday, May 24, 2016

  YANGA KUANZIA UGENINI NA WAARABU WA ALGERIA

  RATIBA KOMBE LA SHIRIKISHO
  KUNDI A:
  Juni 17, 2016
  MO Bejaia Vs Yanga SC
  TP Mazembe Vs  Medeama
  Juni 28, 2016
  Yanga SC vs TP Mazembe
  Medeama Vs MO Bejaia
  Julai 15, 2016
  Yanga SC Vs Medeama
  MO Bejaia Vs TP Mazembe
  Julai 26, 2016
  TP Mazembe Vs MO Bejaia
  Medeama Vs Yanga SC
  Agosti 12, 2016
  Medeama Vs TP Mazembe
  Yanga SC Vs MO Bejaia
  Agosti 23, 2016
  TP Mazembe Vs Yanga SC
  Mo Bejaia Vs Medeama
  KUNDI B:
  Kawkab Marrakech Vs Etoile du Sahel 
  F.U.S Rabat Vs Ahly Tripoli 
  Juni 28, 2016
  Etoile du Sahel Vs F.U.S Rabat
  Ahly Tripoli Vs Kawkab Marrakech 
  Julai 15, 2016
  Etoile du Sahel Vs Ahly Tripoli
  Kawkab Marrakech Vs F.U.S Rabat
  Julai 26, 2016
  F.U.S Rabat Vs Kawkab Marrakech 
  Ahly Tripoli Vs Etoile du Sahel 
  Agosti 12, 2016

  Ahly Tripoli Vs F.U.S Rabat
  Etoile du Sahel Vs Kawkab Marrakech
  Agosti 23, 2016
  Kawkab Marrakech Vs Ahly Tripoli
  F.U.S Rabat Vs Etoile du Sahel  

  YANGA SC itafungua dimba na Mouloudia Olympique Bejaia nchini Algeria Juni 17, mwaka huu katika Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika.
  Siku hiyo, mabingwa wa zamani wa Afrika, TP Mazembe ya DRC watakuwa wenyeji wa Medeama ya Ghana katika mchezo mwingine wa kundi hilo.
  Mechi za Kundi B siku hiyo; Kawkab Marakech watakuwa wenyeji wa mabingwa watetezi Etoile du Sahel katika mchezo wa Kundi B nchini Morocco, wakati F.U.S Rabat watakuwa wenyeji wa Ahly Tripoli nchini Morocco pia.
  Ikitoka Algeria, Yanga itarejea nyumbani kuikaribisha TP Mazembe Juni 28, kabla ya kumaliza na Medeama ya Ghana Julai 15, Dar es Salaam pia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA KUANZIA UGENINI NA WAARABU WA ALGERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top