• HABARI MPYA

  Thursday, May 26, 2016

  NGASSA ALIPOMPOKONYA TUZO JUMA ABDUL TAIFA

  Nyota wa zamani wa Yanga, Mrisho Ngassa (katikati) akiwa ameshika tuzo ya Mchezaji Bora wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC), Juma Abdul (kulia) wakifurahia pamoja na mchezaji mwingine wa timu hiyo, Simon Msuva (kushoto) mara baada ya fainali ya michuano hiyo Jumatano jioni Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga iliufunga 3-1 Azam FC
  Ngassa anayechezea Free State Stars ya Afrika Kusini kwa sasa aliwasili Dar es Salaam Jumatatu kwa mapumziko baada ya kumaliza msimu na siku moja baadaye akaibuka Uwanja wa Taifa kuzishuhudia timu zake za zamani, Azam na Yanga zikimenyana
  Ngassa akimkumbatia Msuva kabla ya kwenda kumpokonya tuzo Juma Abdul

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NGASSA ALIPOMPOKONYA TUZO JUMA ABDUL TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top