• HABARI MPYA

  Sunday, May 22, 2016

  DIDA ALIVYOGOMBEWA 'KAMA MPIRA WA KONA' JUZI UWANJA WA NDEGE

  Kipa wa Yanga, Deo Munishi 'Dida' akipambana kuwachomoka mashabiki wa timu hiyo baada ya timu kuwasili juzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, ambako iliitoa Sagarada Esperanca na kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIDA ALIVYOGOMBEWA 'KAMA MPIRA WA KONA' JUZI UWANJA WA NDEGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top