• HABARI MPYA

  Wednesday, May 25, 2016

  JUMA ABDUL MCHEZAJI BORA KOMBE LA ASFC, AISHI KIPA BORA, ATUPELE MFUNGAJI BORA

  Beki wa Yanga, Juma Abdul akiinua tuzo yake Mchezaji Bora wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya fainali jioni ya leo, timu yake, Yanga SC ikishinda 3-1 dhidi ya Azam FC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Kipa wa Azam FC akipokea tuzo ya mlinda mlango bora wa Kombe la ASFC leo baada ya fainali
  Mshambuliaji wa Ndanda FC ya Mtwara, Atupele Green (kushoto) akipokea tuzo ya Mfungaji Bora wa mashindano hayo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUMA ABDUL MCHEZAJI BORA KOMBE LA ASFC, AISHI KIPA BORA, ATUPELE MFUNGAJI BORA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top