• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 25, 2016

  MWALI MWINGINE HUYOO JANGWANI

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kushoto) akimkabidhi Kombe la shirikisho hilo, maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC), Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' (kulia) baada ya kuifunga Azam FC mabao 3-1 katika fainali jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

  Wachezaji wa Yanga wakisherehekea na Kombe lao baada ya kukabidhiwa leo Uwanja wa Taifa

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWALI MWINGINE HUYOO JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top