• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 24, 2016

  NYOTA YA MIRIAM ODEMBA BADO YANG'ARA 'MIAKA 800'

  Mwanamitindo maarufu Mtanzania anayeishi Ufaransa, Miriam Odemba akishiriki onyesho la Cannes Film Festival mjini Cannes, Ufaransa mwishoni mwa wiki. Miriam aliibuka mwaka 1997 aliposhinda Miss Temeke na hadi sasa bado anang'ara kwenye anga za ulimbwende na mitindo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NYOTA YA MIRIAM ODEMBA BADO YANG'ARA 'MIAKA 800' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top